Bukobawadau

NSHAMBA-MULEBA;Bukobawadau kwenye Msiba wa Alhaji Dauda Athuman Kagimbo hii leo...!!

Wadau mbalimbali kwenye Msiba wa Alhaji Mikidad Kagimbo mda mchache uliopita kijijini Nshamba Muleba,aliyekaa kwenye kiti ni Mzee Mshalaba.
Wadau wakisikiliza waadhi kutoka kwa Sheikh wa Wilaya ya Muleba
Sheikh zakhalia Sheikh wa Wilaya ya Muleba akitoa waadhi sambamba na kuwatambulisha viongozi wa Mkoa.
Sura mbalimbali za wadau kutoka Muleba
Sheikh Haruna Kichwabuta Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Mjini akitoa nasaha kwa waumini nawasio waumini wa Kiislamu,Kikubwa alicho kisema ni watu kuwa na Umoja kwani umoja ndicho kitu pekekee cha kuwafanya watu waweze kujikomboa kimaisha na kimaendeleo
Mlezi wa Bukobawadau Sadick Galiatano Pichani akimsikiliza Sheikh kwa makini
Kutoka kushoto ni Mzee Abbakari Galiatano,Mzee Sudy Fresh,Mzee Abdulziad Kashinde na wa mwisho aliye jiinamia ni Sheikh Mussa.

Anaonekana Bi Jamila Songolo
Mdau Afisa Swahibu kama alivyo jieleza kakutwa akiendelea na biashara yake
Mwonekano wa kanisa la Nshamba ikiwa ni Ombi maalum kwa wadau waliopo mbali
Kushoto ni Uncle Hatifu na wa pili ni Mbaraka Kagambo mjukuu wa Mzee Kagambo
Next Post Previous Post
Bukobawadau