Bukobawadau

Bukobawadau katika Matanga ya Marehemu Omulangira Henry Rwebugisa kijijini Buyango

Familia ya Marehemu Omulangira Henry Rwebugisa
Ibada maharumu iliendelea kabla ya taratibu nyingine
Optaty Henry Kijana wa Marehemu
Mtoto wa Marehemu Mdau Rutta akiweka Shada la maua kwenye Kaburi
Masikani ya Omulangira Henry Rwebugiza ...alikuwa mtu maharufu sana.
Anaonekana katika hali ya simanzi zaidi pichani ni mdogo wa Marehemu.
Kaburi la Omulangira Henry Rwebugisa
Alizaliwa tarehe 17.02.1937
Amefariki tarehe 3.12.2011

Kama ilivyo taratibu za matanga kula na kunywa ni kawaida
Optaty (mwenye kanzu)ndiye kijana mkubwa wa kiume kwa marehemu,Na kama ilivyo talatibu za kimila hapo anavishwa au anakabiziwa uchief wa kilangira na kuanzia jana anatambulika kama (Omulangira Optaty)
Ndg wakifatilia tukio
Camera yetu ikiangaza kila pembe msibani hapo.
Mkali wa kiduku buyango.
Next Post Previous Post
Bukobawadau