Bukobawadau

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU VIWANJA VYA KYAKAILABWA:wadau wasema yapo mengi ya kujivunia ila kelo pia ni kubwa!!!!amani na umoja ndio hoja kubwa!!!Vita ya Kagera yawa kielelezo cha mafanikio

Mabanda ya maonyesho kwenye jubilee ya miaka 50 ya Uhuru kimkoa imeadhimishwa Kyakailabwa
Mabanda ya Biashara.
Banda la Wizara ya Ujenzi katika maadhimisho ya miaka 50.
Burudani mbalimbali katika maadhimisho haya ama kwa hakika mambo yalikuwa swali
sehemu ya wadau waliojitokeza wakifatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa
Mh Kanal Masawe akiongea na wananchi
Mdau akiongea na Bukobawadau
bukobawadau katika habari matukio
Waendesha vipindi vya matangazo kwa ufasaha wa Vision Fm Radio
Wadau kwa pamoja na vyeti vyao vya ushiriki kwa ufanisi.
Tumedhubutu,tumeweza na sasa tunasonga mbele....
Next Post Previous Post
Bukobawadau