Bukobawadau

MAZISHI YA BI AURELIA CELESTINE RWABIZI;yafanyika hii leo 22-12-2011 Kijijini Buganguzi

Anaonekana Ndg Deus na Bi Merry wakiwa mbele kuongoza mazishi ya mama yao mzazi
Inaonekana watoto wa marehemu Bi Aurelia wakiwa katika Ibada.
Baadhi ya Wakwe katika familia hii.
Padre akiendelea na Ibada
Kushoto ni Ndg Bashiru Juma Katera
Nikiwa nje kufatilia kinacho namwona mdau Benny Bazaar na wadau wengine kutokea jijini Dar es salaam.
Ndg Chares Bushaija Kushoto na Ndg Fabian Kalikawe.
Mr Philbert Nyerere akiongoza utaratibu wa shughuli nzima
Ndg na jamaa wakiwa wamejipanga mbele ya Kaburi.
Inavyo onekana Nyumba ya milele
Kufikia hapa niliona wafiwa machozi yakiwatoka tena kwa kuamini kwamba sasa hii ni safari.
Kama ilivyo kawaida watoto wa marehemu,viongozi mbalimbali wa dini na serikali na watu maalumu ndio waliweza kuwakilisha idadi kubwa ya watu kwa kuweka udongo.
Anaonekana Mama Muga pichani akishiriki kuweka udongo kaburini.
Ndg Kalokola Rwabizi katika sikitiko.
Bashiru Haji Juma Katera wa Mulela.
Ndg Phibart Nyerere(Baba Muga)akitekeleza hazima ya kushiriki kikamilifu
Kaka Mkubwa Salva Rwabizi
Alhaji Abbakari Galiatano
Kitendo kinacho fata ni Padre kusimika msalaba kabla ya wahusika kutoa heshima zao kwa kuweka mashada ya maua.
Mr &mrs Sweetbert wakiweka shada la maua
Mr&mrs Deus Rwabizi
Akiwa rafiki mkubwa wa familia
Huyu ndiye mwakilishi wa wajukuu wote.
Mr&Mrs Titto
Mdau Ndg Delfinius.
Mzee Kisaveli na Mzee Mtore
blogger Mc baraka around the sade
Kushoto n Mr Delfinius,Mdau Benny Bazar,Haruna Goronga,Khalidi Mjomba wangu mie na mwisho ni Mc baraka blogger kama ilivyo kawaida ili kupata habari ni pamoja na kushiriki ki matukio
Wadau kote kote kutoka pande,Mbango,Katare,Maeneo ya Kituntu,Buhanga,Bushemba,Kashozi alkadhalika kata za jirani maeneo ya Kabulala-kishanda na vitongoji vyake.
Mh Advocate Ishengoma akiteta jambo na mdau Delfinius
Mdau Bashiru Isack kushoto,Katikati ni mzee Shaban na Mwalimu
Maeneo parking hapo nje
Next Post Previous Post
Bukobawadau