Bukobawadau

BUKOBAWADAU TUNATOA POLE KWA KIFO CHA MTOTO MAHSEN BILAL WA KAMACHUMU KILICHOTOKEA JANA KWA UGONJWA WA SARATANI

Hii ni picha ya mguu wa Mtoto Mahsen Bilal ,ni jana tu bukobawadau tumefika kamachumu kumjulia hali na leo hii tunapata taarifa juu ya kifo chake. Mtoto Mahsen Bilal alisumbuliwa na Saratani au Kansa kwa mda mrefu. Bukobawadau tunatoa Pole kwa Mama Kujua, Issack Abdalla,Ibrahimu Bukenya, Shaffi na Yusuph Bukenya, Bi Mariam Bukenya, pia Ndg na Jamaa wote waliofikwa na msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi Amen.
Next Post Previous Post
Bukobawadau