Bukobawadau

MAZISHI YA MAREHEMU NURU SUED KAGASHEKI MAMIA WAJITOKEZA VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI WASHIRIKI KATIKA MAZISHI;Mh Kanal Massawe atoa rambirambi kwa niaba ya Serikali na Wananchi,Mzee Rwegasira asema anavyo mjua Marehemu!!!!

Mwili wa Marehemu ikiwa umefikisha Makabulini
Mazishi yakiendelea
Mamia wakiwa wajitokeza kushiriki mazishi ya mzee Nuru.
Mazishi yakiongozwa na Sheikh Haruna Kichwabuta sheikh wa Wilaya ya Bukoba Mjini.
Mh Meya wa Manispaa ya Bukoba Dr.Anatory Aman.
Mzee Pius Ngeze
Mbunge wa Bukoba Vijijini Mh.Rwekiza akishiriki mazishi.
Mdau Ali Juma Kikwemu.
Neno kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Mh.Kanal Massawe
Dua kutoka kwa Sheikh wa wilaya ya Bukoba Mjini Sheikh Haruna Kichwabuta.
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mjini Mh.Samwel Kamote,Mh Kanal Massawe Mkuu wa Mkoa na Balozi Hamis Juma Sued Kagasheki Mbunge na Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani.
Katikati ni Mdau Salum Mawingo
Mwenye kijani ni Mdau Philbart Nyerere
Hii ndio safari ya mwisho ya marehemu Nuru Sued Kagasheki Hakika ataendelea kukumbukwa kwa mengi asa katika medani ya Siasa na Kijamii. Kikubwa asa ni kuwa miongoni mwa wapigania Uhuru wa nchi yetu ya Tanzania. Kimichezo tunamkumbuka kama mlezi na Kiongozi wa timu za hapa nyumbani. Yeye akiwa amecheza mpira zamani timu ya Union kabla ya kuitwa Balimi. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi Amen.
Mdau Sued Kagasheki.
Next Post Previous Post
Bukobawadau