Bukobawadau

MWILI WA MAREHEMU NURU SUED KAGASHEKI WAWASILI BUKOBA;Mazishi kufanyika leo Saa kumi Kwenye Makaburi ya Kishenge

Ndege iliobeba mwili wa Marehem Nuru Sued Kagasheki ikiwasili Uwanja wa Bukoba hii leo majira ya saa 5 Asubuhi.

Mda Seleman Juma Sued Kagasheki
Tausi Hamis Kagasheki, Mtoto mkubwa wa Balozi Hamis Kagasheki
Bi Tausi Hamis,Mdau Seleman Juma na kulia ni Shaban Nuru mtoto wa Marehemu Nuru Sued Kagasheki.
Balozi Hamis akimpokea Binti wake Bi Tausi Hamis (kushoto)
Ndg na Jamaa waliojitokeza kuupokea mwili wa Marehemu Nuru Sued Kagasheki
Mda Peter Matagi akisalimiana na Mzee Kambuga.


Safari ya kelekea Nyumbani kwa Marehem ikaanza.

Safari kutoka Uwanja wa ndege kuelekea Nyumbani kwa Marehemu Kashai-Matopeni

Katikati ni Mama Shabani Mjane wa Marehemu Nuru Sued Kagasheki

Ndg na wanafamilia.

Sehemu ya Wadau waliojitokeza kuomboleza msiba wa Mzee Nuru.


s
Wadau mbalimbali waliofika kuomboleza.
Next Post Previous Post
Bukobawadau