Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU;libeneke la wadau na Camera yetu 26-1-2011

Afza Chichi Salum Kapara Mawingo.
Mdau Ustaadh Hamid Suleiman Rajab katika shughuli zake.
Brother Hassan kushoto na Mdau Mlezi wa Bukobawadau Peter Mgisha.
Mdau Mtata Magella Nshubuga.
Camera yetu inakutana na Mdau Jovin Oswald wa SHABUKA GENERAL TRADER. Mdau Oswald anatoa salam kwa wadau wote kupitia ukurasa huu.
Daah siwezi kusema moja kwa moja kuwa wadau hawa pichani hakika ndio ma home boy bukoba ila ninacho kifikilia naamini wapo na wengine wenye mtazamo huo. Kutoka kushoto ni OMG Hamis Goronga,Katikati ni Mdau Gody Katemana,na wa Mwisho ni Haruna Goronga mdau asie na Zengwe na mtu.
Mdau Ndg Zuberi Mwenyeji wa Kemondo.
Pichani ni Ndg Enock huyu jamaa ana historia ndefu sana katika hili na lile na juma lijalo tutamgusia kwa upana zaidi. Mzaliwa wa Ijuganyondo maarufu kama Enock Kashai na shabiki mkubwa wa blog yetu.
Mdau Ndg Isaka Abdallah Bukenya tumepotezana kipindi kirefu ni leo tu nakutana nae kupitia Bukobawadau.
Jengo lililo wahi kuungua moto Mali ya KCU (1990)LMT sasa ujenzi unaendelea katika hali unayo jionea pichani. Jengo hili lipo mtaa wa Haki Bilele mtaa huu ni maarufu kwa jina la oneway.
Nafurahishwa sana na hali ya usafi wa barabara mjini hapa. Pongezi za bukobawadau kwako Mh. Massawe Mkuu wetu wa Mkoa. Angalizo kwa wadau na wakazi wa mjini hapa tujitaidi basi kujituma juu ya usafi asa majumbani kwetu sehemu za mitaro ni noma kubwa!! Tupunguze majukumu na kazi kwa Viongozi wetu au sio jamaniiiii?!!
Juu ya usafi, Wahusika mnaliona hili???
Wahusika wa manispaa ndio hao kwa mbele eti nao wanashangaa hali hii. Haya ni makutano ya barabara ya Jamhuri na barabara ya Arusha. Wahusika Ngazi za juu wawajibisheni au waelimisheni mliowapa jukumu hili.
Viunga vya mjini na barabara ni babu kubwa ila mitaro ni tatizo!!!
Hii nayo inahusu...!!!
Ni katika libeneke la Bukobawadau blogspot. Wadau tunapenda na tunafurahishwa namna mnavyo guswa na kutoa maoni ya moja kwa moja.
Next Post Previous Post
Bukobawadau