Bukobawadau

HALI NI TETE ZAIDI VIJIJI VYA MULEBA:Ugonjwa wa Mnyauko wazidi kuwa tishio.

Hivi ndivyo hali ya migomba ilivyo na hivi ndivyo zao la ndizi linavyo elekea kubakia historia katika baadhi ya maeneo ya Vijiji Wilayani Muleba.
Mdau unaweza kujionea Ugonjwa huu unaoshambulia migomba na ndugu zetu vijijini wakulima kukosa mazao,
Next Post Previous Post
Bukobawadau