Bukobawadau

HERI YA MWAKA MPYA KWA WADAU, KUTOKA KWA KAJUNA BLOG.Kwanza napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa kutufikisha hapa tulipo.

Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2012.

Safari ya 2011 imekuwa safari ndefu kama zilivyo safari za miaka mingine iliyopita. Ninaamini kuwa mwaka huu 2012 utakuwa ni mwaka mwenye mafanikio mengi zaidi ya kuzidi mwaka uliopita.

Ni vyema watu tunajitoa kwa hali na mali katika kujenga taifa ikiwa na familia zetu kwa ujumla.

Blog ya Kajunason (Habari na Matukio) Inapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2012,
Mwenyezi Mungu awabariki muwe na afya njema.
Next Post Previous Post
Bukobawadau