Bukobawadau

LIBENEKE LA BIRTHDAY YA MDAU AIDAN KAJOKA


Aliyesimama ni Mdau Aidan Mbishi wa Kajoka akipongezwa na washikaji mbalimbali kwa kutimiza miaka kadhaa.
Washikaji wawili Ttoka kidato kimoja mpaka kutupia penalti ndani kutoka kushoto ni Mdau Anthony Kayunga na Kulia ni Mdau Kadanke Erasmus George wa Misifa.
Namna mikato na swagar za birthday inavyo endelea
Naweza kusema hii ni kwa mkutasari tu!!! 
 
Shukrani kwako Anthony Kayunga kwa kutufikishia picha hizi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau