Bukobawadau

HABARI MATUKIO WADAU WA KCU (1990) LTD KATIKA SHEREHE YA KUMALIZA MWAKA

Wadau wa KCU 1990 LTD katika sherehe ya kufunga mwaka.
Mdau Ndg Nutahyabarwa Bugingo (kulia)
Kulia ni mdau Jeremia mfanyakazi wa KCU 1990 LMT
Katika hali ya furaha pichani ni Mdau wa KCU Ndg Rwegasira Moris
Mdau Ndg Festor akitoa neno kabla ya kuwakaribisha.
Mwonekano wa Menyu iliopikwa.
Hatua muhimu ya wadau kupata Mlo
Waheshimiwa meza kuu wakipata chakula.
Burudani ikiendelea
Bi Eva Mdau wa KCU katika tabasamu.
Ngoma ya kihaya ikichezwa,hii ni nyimbo isemayo (Dereva Babili kubuga emotoka emo lushengo!!!!)
Next Post Previous Post
Bukobawadau