MAMBO YAANZA KUPAMBA MOTO ONYESHO LA LADY IN RED 2012
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kulia) wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 25 ambao wataonyesha mavazi yao
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa tatu kulia) akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mmoja ya wabunifu wa mavazi akimpima Mwanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wabunifu wa mavazi watakaoshiriki kwa mara ya kwanza katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akitoa maelekezo kwa wabunifu wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akiwa na mbunifu mwenzake Gymkhana Hilali a.k.a Paka Wear pamoja na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi Gymkhana Hilali a.k.a Paka Wear akiongea na wanamtindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao. (Picha zote na C. A. Kajuna,)