Bukobawadau

MUHIMU KWA MWAKA 2011-BAADA YA HAFLA YA WANABUKOBA WAISHIO NJE YA BUKOBA MAADHIMIO YALIOFIKIWA NI KUFIKIA 2015 BUKOBA ITAKUA HIVI!!!!sikiliza hotuba na Mh. Anatory Aman Meya Wa Mji na Wadau Honest Mushobozi

Bukoba tutakuwa na mnala mrefu kama wa Paris na huu utavutia watalii na wageni mbalimbali.
Tutakuwa na super supermarket Afrika nzima hakuna na itajengwa kwa ushirikiano wa Jeshi la Wananchi na Jeshi la China na ujenzi ni mwezi May 2012 na utakamilika ndani ya miezi sita kwa mujibu wa maeleza ya Mh.Anatory Aman Meya wa Manispaa.

Kutakua na mtambo ya kubaini askari ni yupi na raia ni yupi ili kuepukana na ukwepaji wa kodi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau