Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY MAMA CHUI NA LONDON ,RAIS WA MTAA WA MIGEYO

Mdau Salome aka mama Chui,chui na london,chui wa mikogo,mama wa milindimo,mama baraka,rais wa mtaa wa migeyo katimiza miaka kadhaa,
Mama Chui akimlisha keki captain mstaafu wa timu ya taifa,taifa stars Meck Mexime ambae kwa sasa ni kocha wa timu ya Mtibwa na pembeni anaonekana mdau Sudi Karatasi na Mdau Lilian Peter Mwise wa hapa mjini Bukoba

Bukobawadau tunakuombea miaka mingi Bi Salome aka Chui wa Milindimo,pamoja na watoto wako wapendwa
Next Post Previous Post
Bukobawadau