Bukobawadau

VITAFUNWA VYASABABISHA TAFRANI...By Mc Baraka

Ugomvi,Ubandidu ,zongelo,  vagi,zogo,mkazuzu,tifu baya ,sintofahamu kati ya mafundi ujenzi wa Mdau Eliud (anaecheka)!!!!.
Ugomvi kati ya Mdau Ndg Pius kushoto na Edwin Macho ukiendelea.
Sakata hili limetokea mchana wa leo maeneo ya Kibeta Mjini hapa. Chanzo cha Ugomvi huu ni Vitafunwa,ambapo ndg Macho amepitia kipande cha Mkate kisicho chake!!!

Hii ni hapa na pale na Camera yetu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau