Bukobawadau

AJALI MBAYA MDA MCHACHE ULIOPITA BARABARA YA NYAKANYASI

Mda mchache baada ya ajali mbaya kutokea ,Camera yetu ikiwa eneo la tukio na kukuta tayari gari limeondolewa baada ya kudumbukia kwenye daraja la Nyakanyasi mjini hapa.
Wanaonekana wadau kwenye eneo la tukio.
Tarifa za tukio hili zimechelewa kutufikia ila jitihada zetu binafsi tumeweza kufika na kushuhudia eneo la tukio. Hapa ndipo gari lilipo gonga na kuingia darajani.
  • Habari zilizo tufikia inasemekana mtu mmoja mwendesha mkokoteni amepoteza maisha baada ya kugongwa katika ajali hii.
Next Post Previous Post
Bukobawadau