Bukobawadau

MCHORO WA JENGO LA STANDI KUU YA MABASI ITAKAYOJENGWA ENEO LA KYAKAILABWA.


Huu ndio Mchoro wa jengo la standi kuu ya mabasi itakayojengwa eneo la Kyakailabwa na manispaa ya Bukoba kwa kushirikiana na shirika la Mzinga linalomilikiwa na jeshi la wananchi wa Tanzania, jengo litagharimu zaidi ya shilingi bilioni 25.8.

Next Post Previous Post
Bukobawadau