Bukobawadau

WADAU WALIVYO UPOKEA MWAKA 2012 NDANI YA ROCK CITY

Maisha ya kushangilia kuupokea Mwaka 2012 ndani ya jiji la Mwanza yalikuwa kifamilia zaidi,muda wa kutia ndani uwa watoto kwanza,wanaonekana wazazi da Salima 'mama Frank' na Mrs Mgaya wakiwahudumia watoto chakula.
hapo ni ndani ya beach moja kabambe,kali sana ya kupendeza,maeneo ya Nyegezi KITU cha Charcoal Ribs watu wanakula bata kwa kwenda mbele,
Eti unaukaribisha mwaka kwa kuchoma matairi katikati ya barabara usiku mkubwa,eti hakuna magari kupita,eti Mwaka Mpya umefika unaonesha furaha yako.....
Next Post Previous Post
Bukobawadau