Bukobawadau

AJALI LORI LAGONGANA NA PIKIPIKI BARABARA YA TANESCO KIBETA

lori moja aina ya Jiefang likiwa limepakiza Matofali yakuchoma,limegongana uso kwa uso na Pikipiki maarufu kwa jina la Assecdo.
Ajali hii imetokea majira ya saa mbili usiku  katikati ya Kijiji cha Kibeta maeneo ya Tanesco.
Majeruhi wa ajali hii wamepelekwa katika hospitali ya Mkoa na hali zao sio nzuri
Ajali za pikipiki mjini hapa ni mtihani mkubwa sana!!!.

.


Next Post Previous Post
Bukobawadau