Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MH DIWANI JEANIFER MURUNGI KICHWABUTA AREJEA JIMBONI BAADA YA SAFARI YA USA

Mh Jeanifer Murungi Kichwabuta uso kwa uso na Camera yetu baada ya kutokuwepo Mjini hapa kwa kipindi kilefu.
Anaonekana Mh.Jeanifer Murungi Kichwabuta kushoto na mdogo wake Bi Kamama Dio Lutinwa. 
Hatua moja baada ya nyingine Mh.Murungi akiondoka mbele ya Camera yetu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau