Bukobawadau

DUNIA YAKO CHAGUO LAKO;Chagua kumaliza Bifu chagua kupenda Amani.


Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi na Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba wakipeana mikono leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kupatana na kumaliza kwa tofauti zao zilizotokana na sababu za kimuziki zilizodumu kwa muda wa miaka miwili,kushoto ni  Waziri wa habari,vijana na michezo Mh.Emmanuel Nchimbi
na wa mwisho kulia ni Mh Tindu Lissu (Mbunge)
Next Post Previous Post
Bukobawadau