Bukobawadau

ZIARA YA WAKULIMA WA WILAYA YA MULEBA NCHINI UGANDA;yenye lengo la kuwafundisha wakulima mbinu mbalimbali za kilimo bora na ufugaji.

Rais  wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, Mama Anna Tibaijuka, Mh  Massawe, Mh. Rwekiza Mbunge wa Bukoba Vijijini  katika picha ya pamoja na Wakulima walioalikwa Nyumbani kwa
Museveni Mbalala kwa lengo la kujivunza mbinu za kilimo cha kisasa na Ufugaji
 Kutoka kushoto ni Mkazi na mkulima wa Muleba katikati ni  Mh. Waziri Mama Tibaijuka wa mwisho ni  mwakilishi wa shirika la makazi la umoja wa mataifa(UN HABITAT)na aliyesimama nyuma ni meneja wa  Vision Fm Radio ya mjini hapa Bi Matrida Leopord.

 Wakulima wa Muleba mkoani Kagera wakielekea kutoa zawadi zao kwa Rais wa Uganda Mh. Museveni.
 Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akitoa hotuba fupi  kwa waalikwa mbele ya vyombo mbalimbali vya habari ikiwepo Radio Visio, Tbc na Tbc.kushoto ni Mtangaji na meneja wa Vision Fm Radio ya mjini hapa Bi Matrida Leopard.
Mama  Anna KajumuloTibaijuka na Bi  Matrida Leopard


Next Post Previous Post
Bukobawadau