Bukobawadau

Hapa na pale na Camera yetu Jioni Hii

Kushoto ni Mdau Dismas Tegamaisho(Kekundu),Mdau Mzee Deo Mugoa na Ndg Gody Katemana wakibadilishana mawazo na kupata mbili tatu jioni hii.
Anaonekana Bi Victoria Vitalis kushoto na Mdau Dismas Tegamaisho.
Anaonekana Mzee Deo Mugoa akifurahi baada ya kukutana na rafiki yake aliepotezana nae kipindi kirefu
Next Post Previous Post
Bukobawadau