Bukobawadau

BUKOBA VETERAN WAFANYA KWELI SHEREHE YA KUAGA NA KUPOKEA MWAKA USIKU WA JANA NDANI YA CLUB LINAZ

Mwenyekiti wa Bukoba Veteran Mdau Ernest Nyambo. Bukoba veteran imekuwa ni chombo muhimu sana hapa mkoani katika kuchochea maendelea ya michezo yote,ni watu wenye mawazo mapana juu ya maisha ya kitanzania. Bukoba veteran imekusanya ma doctor,wanasheria,wahasibu,wana usalama ma injinia,wastaafu,wafanyabiashara wakubwa na wajasiliamali bila kujali tofauti zadini,kabila,rangi,cheo kazini wala itikadi za kisiasa. Kwa mchanganyiko huu unategemea nini mdau? Kila mmoja wazo linaheshimika na kufanyiwa kazi chini ya Uongozi thabiti,imara ulio na wingi wa hekima,uelewa,waledi na busara za Kaka Mkuu Kamarade E.Nyambo Bukobawadau tunaimani kubwa bukoba Veteran itafika mbali na tunawaombea.
Ndg Evodius Ferdinand
Mr&Mrs Mwinyi Rajab Mwinyi
Mdau Thomas Chales
Ndg Edward Cheyo.
Mdau Shaban (shebby)
Bi Husna Omary.
Viongozi wakiwa meza kuu na afisa utamaduni Ndg Rugeiyamu kulia
Ilikuwa kifamilia zaidi yaani baba,mama,watoto,dada kama unavyojionea,kijana wa bustan,dada wa kazi za nyumbani,mpaka mlinzi wa getini wote ndani ya ukumbi wa Linas Night Club.
Mdau Rashid na Bi Stara.
Veteran George Bube.
Mr&Mrs Matias Pastory
Ndg Chales na Bi Agnes Chales
Veteran Optaty Henry akitoa utambulisho
Shughuli nzima iliongozwa na MC Iman Mgonja
Ma Mc wetu wa Shughuli nzima ni Ndg Imani Mgonja na Mdau Shija pichani.
Wadau pichani ni Ndg Ngirwa na Ndg Delick
Mohamed Kassim
Mr&Mrs Joseph Kizito
Mdau Mr P.J Matete.
Mr&Mrs Gilbart George.
Mdau Edson Lobart.
Mr&Mrs Msese
Kulia ni Mdau Sued Kagasheki
Mdau Mama Chui na london.
Ndg Mtensa na Ndg Mbaule wadau wa soka.
Ndg Balle kushoto na Abdulrazak Majid watangazaji 88.5 Kasibante FM Radio kipindi cha michezo.
Bukoba Veteran kwa kuzingatia urafiki na vyama shirik katika michezowalitoa kadi za mwaliko kwa vyama vya michezo vilivyo rasmi ili kujumuika pamoja ku cement mahusiano.
Next Post Previous Post
Bukobawadau