Bukobawadau

MAADHIMISHO YA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME MOHAMAD( S.A.W) HII LEO MJINI BUKOBA

Msikiti wa Bilele(Uswahilini Bukoba)
Maandamano ya Waumini wa Dini ya Kisilam wakielekea Uwanja wa Uhuru.
Sheikh Haruna Kichwabuta akipokea Maandamano ya waumini baada ya maandamano ya kusherekea uzawa wa Mtume Mohamado (s.a.w).
sheikh wa mkoa
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Kal. Massawe, mkuu wa Wilaya Mh. Samwel Kamote, Mkuu wa Uamiaji Haji Shaaban Fumbuka,Mkuu wa jeshi la POlisi Ndg Selewi, Sheikh wa Mkoa Sheikh Musa Kagimbo na Sheikh wa Wilaya ya Muleba Sheikh Zakaria M. Kagimbo.
Anaonekana Sheikh wa Mkoa picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Mh. Masawe.
Sehemu ya waumini waliojitokeza.
Kisomo cha maulid kinaendelea Usiku wa leo Bukobawadau tutakujuza kile kinacho endelea.
Next Post Previous Post
Bukobawadau