Bukobawadau

HII HALI VIPI WATU WA MANISPAA?!!Binafsi sijapenda....!!!!

Mrundikano wa takataka eneo la Soko kuu la  Manispaa ya Bukoba
Hali hii inapelekea maji machafu kuzagaa hadi barabarani na kinachofata hapa ni magonjwa  wakati na hii ni aibu kwa manispaa inayotoza faiani kwa mtu anaetupa taka hovyo.

Mtaa huu sasa unatoa harufu mbaya na madhara  yake yanawapa   Raia wasio na atia,na sidhani kama swala la uzoaji taka  nalo limeathili a na bajeti kama maeneo mengine.
Binafsi naomba Mkurugenzi wa Manispaa jaribu kufatilia  ni kwa nini  huduma hii ya uzoaji taka inachukua muda.
Next Post Previous Post
Bukobawadau