Bukobawadau

MASHAUZI CLASSIC BAND WAINGIA NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA TAYARI KWA KUSABABISHA NDANI YA LINAS CLUB

 Sound za uhakika zikishushwa kwa ajili ya makumuzi ya leo jioni ndani ya Linas Club

 Isha mashauzi katika pozi,camera yetu iliweza kukutana nao wakati wanaingia ndani ya bukoba viwanja vya Linas Club
Wana mashauzi band ndani ya nyumba.
Next Post Previous Post
Bukobawadau