Bukobawadau

MATUKIO YA SHOW MBILI TOFAUTI ZA MSANII 20% MKOANI KAGERA;Idadi ya waliojitokeza ni ndogo!!!

Nionyesho la msanii 20% lililofanyika  weekend hii kwenye ukumbi wa  Calfornia Mjini Muleba na kupata idadi ndogo ya watu.

Pichani  ni Mr &mrs Hajj wakazi wa Muleba wakifatilia  swagger za msanii 20%
Mashabiki wa msanii 20% wakipata kile kinachostahili .
Kushoto ni 20% akiwajibika katika ukumbi wa Calfornia Muleba.
Ni Onyesho la Msani bora mwenye tuzo tano za  muziki wa kizazi kipya.
Kushoto ni Dj Sley,Mdau Jahrude na Dj Mubah wa Muleba.
Dj Mubah katika pozy lakipekee.
Show mbili tofauti za  Msanii 20% Kikubwa ni  kuonekana na vazi moja, ikiwa hapa  ni California Muleba na Linas Club Bukoba.

Onyesho la kwanza la Msanii 20% lilifanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa Linas Night Club.
Wasanii wa Mjini hapa walianza kwa kutambulisha kazi zao za Uigizaji ikiwa ni pamoja na kutambulisha filamu mpya ya' Dunia mapito'.
Msanii wa Kakau Band Mose Mnyama akitumbuiza ndani ya Linas Night Club.
OMG John Big Bigirwa akishika kipaza
Msanii Puya Man jukwaani.
Ndani ya Linas Night Club ni Msanii 20% aka alwatan kutoka combinenga sounds akisababisha ni Ijumaa ya Weekend hii.
Ni drop za msanii Nyota katika Muziki wa bongo flava 20%
 Idadi ya watu waliojitokeza kwenye onyesho hili ni kidogo sana.


Next Post Previous Post
Bukobawadau