Bukobawadau

HARUSI YA MDAU KISHA HAMZA .Y.MGOGO HII LEO

Bibi Harusi Bi Khadija
Bwana harusi Hamza(kisha)Yunusu  Mgogo kushoto.
Ndg Twaha Msoke Yunusu akitoa nasaha.
Ndg Badlu Seleman na Ndg Sadick Galiatano.
Kushoto Mzee Abdul Ziad Kashinde na Mzee Abbakari Galiatano.
Kushoto ni Sheikh Haruna Kichwabuta na Haji Abbas.
Ndg na Jamaa marafiki wa familia.
Sehemu ya wadau mbalimbali Waalikwa  kushoto ni Ndg Khalid.
Anaonekana Bi Nusura Nuru (Mama Nurath)na Mdau Double D wakifurahia harusi ya mdogo wao.
Kushoto ni Mdau Mama Sauda wa Majengo Bukoba.
Ndg na marafiki wa familia ya Mzee Yunusu Mgogo wa Kishanda Muleba.
Mstari wa mbele wapo Warda na Fahma.
Shughuli ikiendelea wanaonekana wadau kutoka familia ya kihindi ya Selemani wa Kishanda Muleba.
 Bi harusi akiingia ukumbini na mashostito na Mawifi wakimsindikiza ongera sana Bi Khadja hakika umependeza sana.
Mzee Yunusu katika uso wa furaha.
Ni raha tu!!!!!

BUKOBAWADAU TUNAWATAKIA MAHARUSI HAWA MAISHA MEMA YENYE FURAHA

Next Post Previous Post
Bukobawadau