Bukobawadau

MVUA KUBWA ZINAENDELEA KUNYESHA MJINI HAPA NA MAENEO YA JIRANI

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha   na hii ni adha wanayopata wanafunzi mjini hapa. 
Wanafunzi wakipelekwa shuleni
Hii ni hali ya barabara kati ya makutano ya barabara za Jamhuri na Arusha mjini hapa.
Maporomoko katika baadhi ya mitaro.
Viunga mbalimbali  mjini hapa hali ya miundombinu.
Pembezoni mwa mji  maeneo ya Kibeta na Magoti

Migomba inazidi kustawi  kipindi hiki cha mvua kama unavyo weza kujionea.
Matokeo ya mvua tunapata Chakula cha kutosha na hii ni katika kipindi chote cha mwaka kulingana na kiasi cha mvua.
Next Post Previous Post
Bukobawadau