Bukobawadau

WANAKIJIJI WALEWA BIA ZILIZOISHA MUDA WA KUTUMIKA;Hii ni baada ya Gari la Bia Kuanguka!!!!!

Mwanakijiji akiwa bwakisi baada ya kujipelekea bia zisizo na idadi.
Ajali hii imetokea barabara ya kibeta maeneo ya Magoti.
Mmiliki wa mali hii ni Ndg Mganyizi mkazi wa Hamugembe Bukoba.
Anaonekana Mama Mganyizi akijaribu kusimamia kile kilichosalia.
Kishindo Cha gari kuanguka kimewakusanya wana kijiji na kushambulia bia kikubwa walicho ambiwa ni kutokuchukua chupa majumbani.
Ajali ni ajali ila ukiangalia eneo la tukio na kilichotokea kiukweli vimepichana kabisa.
Hii ni barabara ilipotokea ajali hii,Mdau unaweza kuona mazingira haya na kile ninachokizungumzia.

CHANZO KIMEBAINI BIA HIZI ZILIKUWA ZINARUDISHWA KIWANDANI MWANZA BUKOBAWADAU TUNATOA POLE KWA MKASA HUU ULIO MPATA NDUGU MGANYIZI!!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau