BAADA YA EPIQ NATION SASA LIBENEKE LA RAPPER MKALI WA BONGO FLAVA ROMA MKATOLIKI KUENDELEA BUKOBA;Ni Chini ya Tang Records Msanii Rapper katika game la Bongo Flava Roma Mkatoliki na Vumbe,Watapagawisha Mjini Hapa Siku ya Pasaka!!!!
Msanii wa Hip hop mwenye panch kali Roma Mkatoliki atasababisha Siku ya Pasaka katika ukumbi wa linas Night Club na tarehe 9-4-2011 libeneke litaendelea mchangani pande za Space Beach Motel.
Show hii itapambwa na wasanii mbalimbali wa Bongo Flava kama; Vumbe mwenye sauti kama ringtone,Home Boy Sush,Vesta P wa Buye,Mwiba,na wengineo.
Sehemu ya Onyesho la Roma Mkatoliki mashabiki wakishangweka.!!