Bukobawadau

TIMU YA MULEBA VETERAN YASHINDWA KUTAMBA UWANJA WA NYUMBANI;Yalazimishwa sale 3-3 na Bukoba Veteran.

Mchezaji wa Bukoba Veteran Captain Bube.
Kikosi kamili cha Bukoba Veteran  kilicho kutana na timu ya Muleba Veteran mwanzoni mwa jumahili.
Maelezo ya mwisho wakipewa na Kiongozi  kabla ya kuingia uwanjani.
Mechi hii ilichezwa katika uwanja wa halmashauri Muleba na timu zote kutok sale ya magoli 3-3
Mpaka mwisho wa mchezo Bukoba Veteran 3-3 Muleba Veteran.
Next Post Previous Post
Bukobawadau