Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU JUMAPILI HII

Nakutana na Wadau wakipata chakula katika hotel ya New Coffee Tree Inn,kutoka kushoto ni Mdau Bi Shani Issa na Mdau Ndg Bushira.
Mdau pichani ni Bi Fetty kama alivyo kutwa na Camera yetu hii leo.
Uso kwa uso na kijana Sudy Mchoraji.
Kushoto ni Bi Aneth Bigwomunda na Mdau Bi Enjoy wakiwa wamelikita kwenye viwanja vya Coffee Tree Inn.
Home Boy Fuady Rugusha kushoto ,Sadick TOP IN TOWN picha ya  pamoja na Blogger Mc Baraka kulia.
Nikiwa Kiwanja cha Bukoba Club nakutana na mdau huyu tulie potezana nae mda mrefu ni Mdau David  Laurent mchezaji wa zawani wa west ham United maarufu kama timu ya Kugis Kagera.
Mdau huyu kwa sasa yupo nchini Marekani kimaisha.
Ikiwa ndio leo ameingia Mjini hapa kutokea Jijini Dar es  salaam kulia ni mdau Avit (Mtoto wa Kashai)
Mtu mzima Gilbart George kushoto, katikati ni OMG Fuady Rugusha ni katika picha ya pamoja na Mwanalibeneke la Bukobawadau.
Kushoto ni Mdau Hashimu Mwarabu na Mdau Sadick Athman.
  Hii ni katika hapa na pale na Camera yetu jumapili hii.....!!!!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau