Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU-KARIBU SANA BUKOBA HOME!SWEET HOME!!

Home!sweet home !karibu bukoba hakika hutaondoka kama ulivyoingia.
Nakutana na Mdau M1tesh  (kushoto) huyu ni  mtoto wa Mzee Metal mzee wa Nurite ni maarufu mjini hapa,na kulia  kwake ni Mdau Yusuph Wastara  watu wa Kyaka mtakua mnamkumbuka Mzee Wastara bila shaka.
 Pichani ni Mdau Evance swaiba wa watu wengi mjini hapa.
Ni Mdau Msoke (kushoto) hii ni katika kutekeleza ombi la mdau wetu Moshi  Msonja -USA  na wa pili ni Ndg Burilisho wa Kashai.

BUKOBAWADAU TUNAPENDA KUWAOMBA RADHI WADAU WOTE KWA KERO YA  BAADHI YA COMMENT  ZINAZOTOKA KWA WATU WALIOPO KWA AJILI HIYO WENYE LENGO LA KUARIBU-NA  WASIOPENDA JITIADA ZETU NA HUO NDIO WAKATI MGUMU TULIONAO ASA  PALE TUNAPO WEKA AU KUGUSIA HABARI ZA VIJANA WA MJINI HAPA!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau