Bukobawadau

MAMA ASIA IDAROUS KHAMSIN ASHEREKEA KUFIKISHA MAONYESHO 100

Keki ya kutimiza shows 100 za Mitindo
 Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akiwakaribisha wageni katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam. Pembeni yake ni mbunifu wa mavazi Rio Paul na mwanzake. 
 Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Gadner Habash ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa Nyumbani Lounge katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
  Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmoja ya wanamziki wa Kalunde bandi na Deo Mwanambilimbi ambaye ni mmiliki wa bendi hiyo katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam
 Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Victor Chashmir katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam. 

Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Belina Mgeni katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Hamoup Lukelezi katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
 Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mbunifu wa mavazi Falha Sultan katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam .

 Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mbunifu wa mavazi katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam

Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam. 
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akikata keki katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam. Wanaoshangilia ni wabunifu wa mavazi wenzake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau