Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

 Gafla nakutana na mzee wa siku nyingi wao wanamuita mzee wa Busara pale Bandarini BUKOBA,ni mzee mkarimu mcheshi kwa kila mtu,anayeipenda kazi yake, mwingi wa hekima, huyu ni Mzee Ibrahim Mnyeto wao wanamuita MZEE IBURA
Pia namuona baharia wa siku nyingi wa kampuni ya Marine services huyu ni Kijana Haule,wao umuita handsome boy wa Kampuni,kijana mwili nyumba,kuna kipindi alikuwa MV.Umoja na sasa yupo MV.Victoria.

 Bukobawadau tunatoa pongezi kwa  watu wanaoipenda kazi na kujituma na kuwa na huduma nzuri,majibu mazuri kwa wateja maana tunatambua msemo usemao;
 CHEZEA MSHAHARA ILA USICHEZEE KAZI.....
Next Post Previous Post
Bukobawadau