Bukobawadau

MH.FABIAN MASAWE;Azindua harambee ya kutunisha mfuko wa maandalizi ya mkutano mkuu wa UKUTA utakaofanyika kitaifa mkoani Kagera.

Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe, akitoa hotuba ya ufunguzi wa harambee ya kutunisha mfuko wa maandalizi ya mkutano mkuu wa UKUTA itakayofanyika kitaifa mkoani Kagera, massawe ndiye aliyeongoza harambee hiyo ambapo jumla ya shilingi milioni  1.2 zilichangwa papo kwa papo na ahadi zilizotolewa ni zaidi ya shilingi milioni 12..
 Waalikwa mbalimbali walioudhuria harambee iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu , Massawe.

Picha na habari kwa hisani ya Audax .
Next Post Previous Post
Bukobawadau