Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY MDAU ALEX ASIEL KAREGA

Birthday cake ya Homeboy Alex Asiel.E. Karega
Mdau Alex Asiel ni kijana wa Mjini hapa kwa sasa yupo Chuo IFM.
Hafla hii imefanyika  ufukweni Coco Beach Osterday Dsm.
 
Hapa ni mda mchache  baada ya kuwasili coco beach yupo Mdau Francis, Erick Barongo(mwenye tshirt nyekundu),Alex Asiel,Rigobert, Straton na Joshua.
Mdau Sufian Jumanne akiwa picha ya pamoja na  Birthday boy Alex Asiel.
Anaonekana Mdau Deogratius Lujuo akisaidiana na Alex Asiel katika ukataji wa keki.
  Pichani ni Mdau Deo(mwenye miwani),Sufian, Alex na Joshua ni Wadau wanaotoa ushirikia mkubwa katika kupanua wigo wa kufahamika asa kwa wanachuo Wenzao IFM.
Bukobawadau tumeipenda hii namna Mdau Deo na Alex walivyoshiriki kufungua champagne kwa pamoja

BUKOBAWADAU BLOG TUNAKUTAKIA   HAPPY BIRTHDAY  NA KILA LA HERI KWAKO!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau