Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY MDAU ALFRED MATOVELO

Birthday Cake ya Mdau Alfred Matovelo
Mke wa Mr Matovelo Bi Alice Msamila Matovelo kwa jina maarufu Mama Nancy akiwakaribisha wageni waalikwa.
Mama Nancy akimkaribisha Mr Matovelo katika zoezi la ukataji keki
Mama Nancy akikata Keki
Mdau Mr Matovelo akimlisha kipande cha keki Mkewe
Wanaonekana Waalikwa wakisema safiiiii... kwa kupiga makofi.
Kaka Mkuu akilishwa keke kwa niaba ya marafiki wa familia.
Mdau Said Bunduki akilishwa Keki
Bukobawadau tunapenda kuwashkuru kwa dhati kabisa wadau wanaotembelea blog yetu na kutushauri hili na lile na kutulekebisha pale inapobidi na tunawaomba Wadau wengine kutushirikisha  katika matukio kama hivi blog hii ni mali yenu Wadau!!!
Kila mdau ameshiriki kikamilifu katika zoezi zima la kulishwa Keki.
Pichani ni Mlezi wa Bukobawadau Blog Ndg Peter Mgisha akilishwa keki
Wadau wakiendele kupata Keki.
Kwa niaba ya Wadau wote nimehusika mimi Mc Baraka kulishwa keki.
Safi sana Ndg Delick!!!
Mtoto Calyn Delick  sehemu ya wadau walioshiriki
Anaonekana Rahimu Kabyemela kuvutiwa na kila kinachoendelea
Bi Mwise Lilian Peter.
Bi Hope Kasimbazi wa Makoko akilishwa Keke, kwa mbali anaonekana tayari anamatokeo flani....!!!
Ni Mdau Rehema Ramadhani
Utaratibu wa Kutoa Zawadi ulifata,anaonekana Mdau Bi Mainda Kassim akikabizi Zawadi na kumpongeza Ndg Matovelo.

Anaitwa Bi Salome aka Mama Chui...
Mdau rafiki mkubwa wa Familia Bi Maua Mau Ramadhani.
 Mwonekano wa kitu Menu.....!!!!!
Picha kwa yenyewe yajitosheleza kueleza!!!
 Chakula kilikuwepo cha kutosha na cha ukweli kama wanavyoonekana wadau pichani  katika  kukabiliana na jukumu lililo mbele yao!!!!
Inafika wakati Mtu unaweka Camera Chini kwanza...
Hakika kwa umakini namwona mtu mzima Delick (kushoto)na Mdau Jon Do
Limekua ni jambo la kawaida kwa mtu kufanya au kufanyiwa birthday ni katika kumpongeza na kumuombea umri zaidi na kheri duniani.
Kushoto ni Bi Maisala(Mama Palvin)na kulia ni Mdau Chui na London(Salome)
Hongera yako Ndg Matovelo.
Ni wasaa wa kufungua akili kwa mawimbi ya hisia.
Mr Matovelo na Mkewe kipenzi Alice Msamila Matovelo wameona sio busara siku hii muhimu kupita bila kujumuika na rafiki ndugu,majirani, maswahiba,mashost ,wadau na mashistito.

Wakajipanga ,wakawaka kama hivi na kushereheka pamoja kwa sala,kula ,kunywa na kusakata Rhumba.

BUKOBAWADAU TUNAKUPONGEZA SANA KWA UMRI ULIOFIKIA MUNGU AKUONGOZE NA KUKUPA AFYA NJEMA KAKA!!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau