Bukobawadau

BREAKING NEWWWZZZZZ!!!!Uwanja mpya wa Ndege Kujengwa Mjini hapa na Majengo Mapya ya Kisasa

Zoezi la Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Ndege na Nyumba za kisasa tayari Umeanza kwa Kasi.
Libeneke la Bukobawadau katika tukio zima kama anavyo Onekana Blogger Mc Baraka akichukua tukio japo kwa mkutasari.
Baadhi ya Mafundi wakiwa wametulia.
Hakika mwanamke akishirikishwa anaweza.
Ndio kwanza ata Choo Kinajengwa bila shaka ni kwa mda.
Mwonekano wa Matrekata ya Ujenzi.
Mchakato wa kujenga Jengo jipya la kisasa kwenye uwanja wa Ndege wa  Mjini hapa umekamilika na tayari zoezi limeanza kama unavyo weza kujionea mafundi ujenzi wakiendeleza libeneke katika hatua za msingi.
Kisiwa cha Msila  mojawapo ya kivutio na kielelezo cha Mji wa Bukoba
Malighafi ya Vyuma vya kujengea ghorofa .
Uwanja huu upo  Miembeni Bukoba kama yanavyo majengo ya jirani
Mafundi Ujenzi wakiendelea na Ujenzi kama kawaida.
Hawa ni mafundi wataalam wa kujenga ghorofa kama walivyokutwa na Camera yetu.
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege kwa kiwango cha lami.
Hii ni habari Njema kwa Wanakagera kwa ujumla.
Kwa kawada Mvua kubwa zikinyesha Uwanja unajaa maji na Ndege hazitui wala kuruka,kumbukumbu inaonyesha mwisho mwa miaka ya 80 Ndege ya Mh. Rais ilibaki hapa baada ya kuteleza na kukwama pembezoni mwa uwanja ....walio wengi mtakuwa mnaikumbuka hii!!!
Hivi ndivyo unavyo Onekana uwanja wa Ndege Mjini hapa kwa hivi sasa mvua kubwa zikinyesha Ndege hazitui wala kuondoka.
Bukobawadau tumefika na kushuhudia ujenzi unavyo endelea.
Next Post Previous Post
Bukobawadau