Bukobawadau

DIAMOND BAADA YA KUMTOLEA MAKAVU WEMA-SHUGHULI INAENDELEA KESHO NDANI YA LINAZ CLUB

Haya ndio yaliomkuta Wema Sepetu Usiku wa Jana Mlimani City.
Baada ya Diamond kukataa kupokea pesa, wema alizitupa chini ya Jukwaa na kisha kwenda kukaa.
Ukumbi mzima walipuka kwa mayowe kwa Action ya Mtu mzima Diamond , MSANII ambaye nasema alijua thamani yake mapema na kujiita jina la Madini ...SHUGHULI kubwa ni kesho tarehe 1-4-2012 ndani ya Linaz Night Club tuone Diamond atakavyo sababisha...!!!
CHANZO CHA PICHA na kajuna blog &michuzi
Next Post Previous Post
Bukobawadau