BUKOBA WADAU
  • HOME
  • ABOUT
  • CONTACTS
  • BUKOBA WADAU LIVE (YOUTUBE)
Bukobawadau
  1. Home

WADAU WAUSINDIKIZA MFUNGO WA KWARESMA KWA KUTOA SADAKA KATIKA KITUO CHA WAZEE KILICHOPO KILIMA,BUGABO.

BUKOBAWADAU
1 Apr, 2012
wwwwWadau hawa wamejiuliza hivi ni kwanini tusishiriki shangwe na hawa wazee wetu wa kituo cha.....kilichopo.... maalumu kwa kuwatunza wazee wasio na uwezo,walemavu,vipofu,viziwi na watoto yatima kwa kula,kunywa nao ikiwa ni sehemu ya Pasaka yao?
Bi SalomeMdada salome aka Chui na London akimnawisha maji kabla ya kula mwana kituo,ikiwa ni ishara ya upendo na msaada kwa mzee huyo
kakaKaka mkuu akipakuwa na kuhudumia wazee chakula
bibi huyu mcheshi kabisa mwenye ulemavu wa macho ila anao ufahamu mkubwa akikonga pilau ndizi huku akisukumia na Kitu RWENZORI
Zoezi la kuwanawisha Wazee lilikuwa la wote kuonesha upendo anaonekana Hope Makoko na Mdau Optaty Henry(katibu)wakiwajibika.
Mahakuli yenyewe kutoka Bukoba Mjini nayatolea Macho tu mpaka njaa inaniuma!!!
Mdau Peter Mugisha Piere(Obama)Nkurunziza akiwajibika.
Kushono ni kijana Evody(chinga)akipata Mulo pamoja na kaka zake.
Bibi huyu mlemavu wa miguu akitwanga Menu kwa raha zake.
Wa dada hawa pamoja na majukumu ya hapa na pale ya kila siku,ufika wakati uwa wanamkumbuka mungu kwa sala na toba,sadaka na kwenda kwenye nyumba za ibada,hapa nao wakipata msosi.
Mdau huyu  alitambulika kama Balozi,hapo akitoa neno la kushukuru ujio na msosi kwa ujumla.
Ulifika wakati wa kutoa zawadi binafsi,juice,sabuni,nguo etc
Mkurugenzi  MugishaPiere alikuwa busy muda flani kurekodi matukio muhimu,huyu ni mlezi wa BUKOBAWADAU BLOG.
Mrs Hope Makoko akichapa story kwa upendo mkuu na bibi huyu Mcheshi.
Hatimaye Nyota ikamuwakia Balozi,akasema hapa sitoki kapa aaah aaah kuopoa hakuna Umri,dada Chui kadai watu wazima wanajua kubembeleza,kutunza na kusamehe,kosea uruke na tu Janki kama....kila siku bifuuuuu !!!
Wadau katika picha ya pamoja na Wazee hawa.

Baada ya picha ya pamoja kilichofata ni kuwarudisha wazee hao vyumbani,mengine kuwashika mikono na wengine kuwabeba kabisa





BUKOBAWADAU

BUKOBAWADAU

Bukoba Wadau ni mtandao unao toa habari na matukio yanayo tokea katika mji wa bukoba pamoja na mkoa wa kagera kwa ujumla.
Email:bukobawadau@gmail.com | Phone :Mc baraka:0784 505045, 0754 505043
Instagram @bukobawadau | Facebook @bukobawadau

Next Post Previous Post
Bukobawadau

BUKOBAWADAU

ZILIZO TAZAMWA ZAIDI

DOWNLOAD 'PANAPOFUKA MOSHI 'BY JUSTIN KALIKAWE

DOWNLOAD 'PANAPOFUKA MOSHI 'BY JUSTIN KALIKAWE

13 Aug, 2013

Marehemu Justin Kalikawe ndani ya 'Panafufuka MOTO' fanya kudownload na kusikiliza mashairi yake, kikubwa ni maswala ya ajira kwa ...

SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO 'AMANI' BY JUSTIN KALIKAWE

13 Aug, 2013

Mushemba Christmas Support 2025: Upendo Unaogusa Maisha

Mushemba Christmas Support 2025: Upendo Unaogusa Maisha

6 Dec, 2025

Mushemba Foundation Tanzania kwa kushirikiana na Mushemba Foundation Denmark 🇩🇰 imezindua rasmi Mushemba Christmas Support 2025 — mpang...

13 AUG, 2013 NI KUMBUKUMBU  YA MIAKA 10  YA KIFO CHA MWANAMUZIKI JUSTIN KALIKAWE KILICHOTOKEA 13AUG, 2003

13 AUG, 2013 NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA KIFO CHA MWANAMUZIKI JUSTIN KALIKAWE KILICHOTOKEA 13AUG, 2003

13 Aug, 2013 7

Kutoka maktaba ya bukobawadau blog, hivi ndivyo mazishi ya marehemu  Justine Kalika yalivyokua , kijijini kwake   KITENDAGURO kibeta ndani y...

DOWNLOAD FREE WIMBO WA NKURUKUMBI WA MSANII BUSHOKE

19 Mar, 2013 3

About Us

Bukoba Wadau ni mtandao unao toa habari na matukio yanayo tokea katika mji wa bukoba pamoja na mkoa wa kagera kwa ujumla. utapata habari, matukio na matangazo yanayo husu bukoba na mkoa wa Kagera.

Learn More

  • Advertise
  • Disclaimer
  • Privacy Policy
  • Terms and conditions

Follow Us

Newsletter

Kuwa wa kwanza kupata makala mbali mbali kutoka tovuti ya bukoba wadau

Copyright © 2021 BUKOBA WADAU