Bukobawadau

JENGO LA CM PLAZA LAZINDUA TEKNOLOJIA MPYA YA KUFANYA USAFI IITWAYO ROPE ACCESS


 Mkurugenzi wa kampuni ya Equilibrium Rope Access Bw. Abdulkarim Tumba akipanda juu k Mkurugenzi wa kampuni ya Equilibrium Rope Access Bw. Abdulkarim Tumba akipanda juu kwa ajili ya kusafisha vioo kwa kutumia teknolojia ya Rope Access ambayo ni mpya kwa hapa nchini. Aliongeza kuwa ni vyema Watanzania wenye majengo ni vyema wakajitoa kwa kuitumia teknolojia hii ambayo ni salama. Na leo kwa mara ya kwanza tokea teknolojia hiyo imeingia nchini Tanzania wameifanya katika Jengo la CM Plaza lililopo jijini Dar es Salaam.wa ajili ya kusafisha vioo kwa kutuTanzanatika Jengo la CM Plani Dar
 ...Akielekea juu kwa ajili ya kuanza kusafisha jengo hilo; ambapo usafi unafanyika kwa ustadi kabisa.
 ...Akielekea juu kwa ajili ya kuanza kusafisha jengo hilo; ambapo usafi unafanyika kwa ustadi kabisa.
Hapa akiendelea na usafi ambapo haitaji vifaa Hapa akiendelea na usafi ambapo haitaji vifaa vingi wala umeme na ni haraka na salavingi wala umeme na ni haraka na salama.
Next Post Previous Post
Bukobawadau