Bukobawadau

MAGARI YA KIFAHARI YANAYOPENDWA KWA KUBEBA MAHARUSI UKO MAREKANI

Moja ya aina ya gari la kifahari linalopendwa na wenzetu.
Mdau hii ni katika kujulishana hili na lile uwenda wewe ukawa mmoja wapo kati ya wale wanaochukulia kawaida kutokana na sehemu au mazingira waliomo,Pia kuna wenzangu na mie ndio kwanza ata picha tunakutana nazo leo....
hii mwenzangu nashindwa nianzie wapi kuelezea....
Mwonekano kwa ndani na naksh za aina yake
hapa kila gari linaukali wake.

Next Post Previous Post
Bukobawadau