Bukobawadau

KAMA UJAIPA STORY YA WEMA SEPETU KUIBA MUME WA MTU HII HAPA...!!!

Pichani ni Wema Sepetu
Baada ya mwanamke mmoja kumletea fujo muigizaji Wema Sepetu kwa madai kwamba amemuibia mume wake.
Jana Wema ameamua kufunguka na kuzungumza juu ya upande wake, hivyo mdau kama ukuipata story yenyewe iko hivi;Juzi kati kulikua na story zilizo zilizoenea kwenye vyanzo mbalimbali juu ya huyo mwanamke kumfanyia fujo Wema baada ya kumkuta yeye na wasanii wenzake ndani ya Pub ambayo inamilikiwa na mwanamke huyo.

Wema akasema;''Kwanza mimi mwenyewe nilishtuka sana,nilikua natafuta location ya kucheza movie yangu kwenye Mgahawa.
Kutoka na kurudi nikamkuta mwanamke ndani ya Gari Jeupe  limepaki pembeni yangu siijui wala huyo mwanamke simjui nikamchukulia kama mmoja wa wa haters,akaanza kufanya fujo wakati mimi huwa siwezi fujo,nikajitaidi kutoka eneo la tukio na kupiga simu polisi na kuja kumchukua huyo mwanamke na kwenda polisi Osterbay''.

''Kiukweli sitembei na mwanaume wake,sitembei na mume wa mtu ........alafu yule ni mwanamke mtu mzima sana hawezi kugombana na mimi,mimi ni mtoto mdogo akitaka aje na uthibitisho,alafu anasema Gari ninayotembelea ni yake!!!!Gari ni yangu ni yangu mpaka kadi ninazo mimi huo ni ujinga na ndio maana siwezi nikaachia hii kitu iende hivyo hivyo tu kama anavyotaka yeye''

Wema ''kama kweli ningekuwa namchukulia mwanaume wake sidhani kama ningekua nimefikishana nae hapa tulipofika manake ningekua namuogopa sana...simwogopi na afanye chochote anachotaka kufanya,Waniache na maisha yangu nimekaa kimya mtoto wa watu wananifatafat,nikisema watasema nimesema,waniache basi mi mwenyewe nina maisha yangu ya kuishi''

Hayo ni maneno ya wema ambae amekua kwenye skendo mara nyingi asa baada ya kutengana na Msanii Diamond ambae tutakuwa nae  mjini hapa katika Onyesho maalumu litakalofanyika tarehe 1.4.2012 Chini udhamini wa Misifa Classic Wear,Linas Night Club na Bukobawadau  blogspot.

Next Post Previous Post
Bukobawadau