Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU HII LEO.

 Nakutana na mdau huyu pichani ni Ndg  Rashid Goronga.
 Hapa na pale kuelekea kiwanja babu kubwa cha Prince Motel.
 Hii ni Sehemu ya upanuzi wa kiwanja cha Linas Night Club kisima cha burudani
Hakika Mkurugenzi wa Linas anastahili pongezi kwani shughuli inayo endelea hapa sio ya kitoto.
 Mdau huyu pia ni katika libeneke la hapa na pale na Camera ya Bukobawadau blog.
 Baba Mzee ukipenda au Rashid Goronga hakika  mdau huyu hanaga tabu,zogo wala kokoro na mtu.
 Mwonekano wa jengo la KCU (1990)LTD,Ushirika ilikua chachu ya maendeleo ya mkoa wetu wa kagera.
 Kutokea kiwanja hiki mpaka kufikia tulipo sasa hakika tuwashkuru wadau wazalendo wanao wekeza nyumbani,Hapa ni Nurite jengo la Cinema asikwambie mtu enzi hizo....!!!!
 Maswaiba hawa  ni wadau wakubwa wa bukobawadau blog ,kutoka kushoto ni Mdau Anthony Ishengoma William na Mdau Wilbroad Peter Kahigi.
 Mdau Anthony Ishengoma akiteta jambo na Mdau Wilbroad Peter.
Shughuli kubwa ya upanuzi wa barabara unaendelea mjini hapa.
Ni jitiada na mipango endelevu ya viongozi wetu wa manispaa.

BUKOBAWADAU TUNATOA PONGEZI KWA JITIADA ZA VIONGOZI WA MANISPAA!!!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau