wagombea wa ujumbe wa mkutano mkuu Ndg Pelegrinius Alex Rutaykga  na Al-Amin Abdul wakichimbana mkwara kabla ya kuingia ukumbini,Al Amin anadai yeye anao uwezo mkubwa wa kuongoza hivyo anamwambia Ruta ajitoe,Ruta nae anadai mimi ni mpambanaji wa muda mrefu kwenye medani hii,tusubiri tuone!!
  Leo ndio medani ya soka mkoa wa kagera inapata sura mpya,anaonekana mgombea nafati ya wenyekiti wa mkoa mjumbe kutoka misenyi  JAMAL MALINZI ambae anapambana na Bw. Fhalid AL-QUSAIB.
 Pichani mgombea ukatibu Jacob Kilyaga kabaijo akiwa hana wasiwasi kabla ya uchaguzi
 Anaonekana Abdulrazak Majid Mtangazaji 88.5 Kasibante Fm Radio akiteta jambo na Ndg Jacob Kilyanga Kabaijo
 Wanaonekana wagombea watatu wa nafasi moja ya ujumbe wa mkutano mkuu,Amin,Ruta na Mzee Mshongi,patachimbika leo
Katibu anae maliza muda wake Ndg Bayona akiwaita wajumbe ukumbini.
Mgombea wenyekiti Bw.Jamal Malinzi akitoa hoja ya kupitia agenda kwa kasi ili kuokoa muda
Mjumbe akijibu hoja ya Jamal Malinzi
Mgeni rasmi afisa michezo kutoka mkoani akitoa neno la kufungua kikao
Mjumbe kutoka chama cha marefa bwana Tibaijuka,mwamuzi mstaafu mwenye beji ya FIFA akifatilia mambo na Bwana Chama pembeni
Mgombea ukatibu bwana Lutamigwa akiwa na laptop kwa ajili ya kujikusanyia point za kujieleza baadae,na mzee Uledi mwamuzi wa muda mrefu nae akiwa makini na tukio la leo,
MATUKIO NA PICHA ZOTE KWA HISANI YA KAKA MKUBWA AMBAE HAPO NI MJUMBE MWALIKWA
WAJUMBE WATAMBIANA KWA STAILI ZA KI MJINI KWA VIJEMBE  VYA HAPA NA PALE
HEBU TUSUBIRI TUONE  BUKOBAWADAU TUTAKUJUZA KITAKACHO.......!!!!!