Bukobawadau

LEO TENA KATIKA KUMBUKUMBU NA BUKOBAWADAU.

Kipusa huyu yupo wapi?leo Bukoba wadau tunatumia muda wetu kuwakumbuka wabishi wa kitaa ambao tumepotezana Machoni.
Mrembo huyu Aneth (pichani)hatujui anapatikana kipande gani cha Dunia hii,lakini pengine ni katika harakati za kutaka kuyaweka sawa maisha,wadau mbalimbali wanasema wapo  pamoja na wewe na tunakukumbuka sana popote ulipo.
 Mara ya mwisho  Bi Happy( kulia) alikuwa Masubo Phones na huyu mwenzie alikuwa Celtel,Airtel sijui baada ya hapo wapo wapi,ila walishiriki na wengine kuufanya mji wetu uwe na changamoto flani hivi za kimjini.
Tumekuwa na tabia ya kuwapoteza wadau muhimu sana hapa mkoani kwetu bila kutaka kujua walipo,dada zetu hawa wabishi wa town Bukoba kipindi hicho kwa sasa hatujui walipo,sisi kama bukoba wadau tunawapa Hi popote walipo na tunawakumbuka sana
HII NI LEO TENA KATIKA KUMBUKUMBU NA BUKOBAWADAU!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau